Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza maombolezo ya kitaifa baada ya kufariki Rais wa pili wa nchi hiyo, Daniel Arap Moi.
Add a commentRead more: HUZUNI NA MAJONZI : Kenya waomboleza kifo cha Rais Mstaafu Daniel Arap Moi (1978-2002).
Rais Dokta John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali leo Februari 03,2020 ambao aliwateua hivi karibuni.
Add a commentRead more: KIAPO CHA UTII KAZINI: Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania inaendelea kufuatilia kwa ukaribu maendeleo na hali za watanzania wanaoishi jimboni Wuhan nchini China kwa ujumla kutokana na kuzuka kwa virusi vya homa ya Corona nchini humo.
Habari na Angela Mathayo.
Add a commentRead more: VIRUSI VYA CORONA CHINA : Serikali yawatoa hofu watanzania.
Leo tarehe 29/01 katika Bunge la 11 kikao cha pili, hati zilizowasilishwa mezani ni pamoja na taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2019 ambazo zitawasilishwa na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali. Vile vile uwasilishwaji wa taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa kuhusu usimamizi wa matumizi ya fedha za umma katika serikali za mitaa kwa mwaka 2019,ambazo zitawasilishwa na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali za mitaa.
Add a commentUpande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera umeieleza Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kuwa mchakato wa makubaliano kati ya Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) bado unaendelea.
Habari na Angela Mathayo.
Add a commentRead more: KESI YA ERICK KABENDERA: Mchakato wa makubaliano na DPP waendelea.
Bunge la 11 mkutano wa 18 limeanza leo tarehe 28/1/2020, bunge hili ni mahususi kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa za mwaka za kamati za kudumu za Bunge., ambapo Bunge pia linatarajia kujadili na kupitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali (Na. 5), wa mwaka 2019, na muswada wa sheria ya ususluhishi wa mwaka 2020.
Add a commentRead more: Bunge la 11 Mkutano wa 18 laanza leo Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Wiki ya Sheria na Siku ya Sheria itakayofanyika katika Jiji la Dodoma.
Add a commentRead more: WIKI YA SHERIA TANZANIA: JPM atarajiwa kuwa mgeni rasmi jijini Dodoma.
Wanafunzi zaidi ya 2700 wa shule ya msingi Bangulo iliyopo wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam wanalazimika kutumia matundu ya vyoo nane tu hali inayotajwa kuwapa shida wanafunzi hao wakati wanapohitaji kujisaidia huku shule hiyo ikiwa na jumla la madarasa 14 pekee ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi shuleni hapo
Habari na Adam Damian.
Add a commentRead more: ADHA YA CHOO SHULE YA MSINGI BANGULO DSM: Wanafunzi 2700 watumia matundu 08 tu ya vyoo.
Mpango wa utoaji chakula shuleni mkoani Geita bado uko chini ambapo takwimu zinaonyesha kuwa shule za msingi zilizopo ni 598 na zinazotoa chakula ni 143 sawa na asilimia 23.9 huku inaelezwa kuwa baadhi ya wazazi bado wanaona hakuna umuhimu wa kuchangia chakula kwakuwa serikali ilishatoa tamko yakuwa Elimu bure kwa kila mwanafunzi.
Habari na Salma Mrisho.
Add a commentRead more: SERA YA ELIMU BURE: Mwitikio mdogo kwa wazazi Geita kuchangia chakula shuleni.
Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.