Polisi wa Kenya katika mji mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na naibu wa rais wa nchi hiyo, William Ruto, ambaye ni mmoja wa wagombea wakuu katika uchaguzi wa mwezi ujao.
Add a commentWaziri wa elimu nchini Kenya George Magoha amewakumbusha walimu kwamba adhabu ya viboko imesalia kuwa marufuku katika shule za nchini humo.
Add a commentRwanda na Kenya zimeanza kutoa chanjo kwa watoto ambapo wamebainisha kuwa sasa watoto nchini mwao wanastahili kupokea chanjo ya Pfizer huku nchi zote mbili zikianzisha kampeni za chanjo kwa rika hilo.
Add a commentMpiga mbizi ambaye amekuwa akisaidia kuopoa maiti kutoka Mto Yala magharibi mwa Kenya amejificha baada ya kutishiwa maisha yake, shirika la kutetea haki za binadamu linasema.
Add a commentRais wa Shirikisho la Soka la Kenya Nick Mwendwa amekamatwa na maafisa wa polisi nchini humo.
Add a commentWasafiri kutoka Dubai wataruhusiwa kuingia nchini Kenya kuanzia leo baada ya nchi hiyo kuondoa marufuku iliyokuwa imeweka kwa ndege zote zinazoingia na za abiria kutoka taifa hilo la Mashariki ya Kati wiki mbili zilizopita.
Add a commentMoto umechoma upande mmoja wa soko la Gikomba jijini Nairobi na kuharibu mali ya thamani isiojulikana mapema Jumatatu.
Add a commentMaafisa wa Kenya wamethibitisha mlipuko wa homa ya virusi vya mafua aina ya Influenza nchini humo.
Add a commentWanafunzi wawili wa Shule ya sekondari ya Wasichana ya Buruburu nchini Kenya wamefikishwa mahakamani leo Jumatatu kuhusiana na kisa cha moto katika shule hiyo kilichotokea wiki iliyopita na kusababisha wanafunzi 59 kulazwa hospitalini.
Add a commentRais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameamuru raia wote ambao bado wanaishi katika maeneo ya mashariki mwa mkoa wa Donetsk [ ... ]
Kifo cha mhamiaji aliyeshambuliwa mchana kweupe nchini Italia kimezua hasira.
Katibu Mkuu wa Shrikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesema amesekitishwa na madai ya yaliyekuwa Af [ ... ]
Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.