Star Tv

Featured News

RAIS MAGUFULI AWAONYA WAKANDARASI WANAOCHELEWESHA MIRADI.
Rais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja na kituo cha kimataifa cha mabasi cha Mbezi Luis.
MWILI WA BALOZI WA ITALIA WASAFIRISHWA KWENDA ROMA.
Mwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka siku ya Jumatatu, umesafirishwa kwenda mjini Roma.
MWANASIASA WA UPINZANI WA RWANDA AUAWA.
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
UMOJA WA MATAIFA WALIKOSOA JESHI LA MYANMAR.
Vifo vya waandamanaji wawili wanaopinga mapinduzi nchini Myanmar, leo hii vimezusha lawama mpya kutoka Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa kijeshi.
RAIS MAGUFULI AWAONYA WAKANDARASI WANAOCHELEWESHA MIRADI.
MWILI WA BALOZI WA ITALIA WASAFIRISHWA KWENDA ROMA....
MWANASIASA WA UPINZANI WA RWANDA AUAWA.
UMOJA WA MATAIFA WALIKOSOA JESHI LA MYANMAR.

Recent News

KENYA KUPOKEA CHANJO YA CORONA.

Taifa la Kenya limesema kuwa linatarajia kupokea chanjo wiki ijayo

Kenya itapokea bachi ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 wiki ijayo, baraza la mawaziri limesema

Wahudumu wa afya, maafisa usalama, waalimu na watu walio kwenye hatari watakuwa wa kwanza kupatiwa chanjo hiyo

Serikali haijaeleza kwa kina ni chanjo gani wanayoitarajia

Wizara ya Afya awali mwezi huu ilisema ilifuatilia chanjo ya AstraZeneca na kuidhinisha kwa matumizi nchini humo

Aidha, mpaka sasa Kenya imerekodi wagonjwa 105,057 wa virusi vya corona, kwa mujibu wa data za Wizara yake ya Afya

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.