Wakazi wa wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameeleza kupoteza matumaini ya uwezekano wa kukamilika kwa Barabara ya Lami kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye urefu wa KM 66.9 ambayo iliwekewa jiwe la msingi mwanzoni mwa mwezi Mei 2018 na Rais Magufuli, ambapo mpaka sasa utekelezaji wake ni asilimia 10 pekee.
Habari na Omary Hussein.
Add a commentMadereva bodaboda nchini wameonywa dhidi ya tuhuma za kujihusisha kimapenzi na wake za watu pamoja na wanafunzi zinazowakabili baadhi yao na kulitia doa kundi hilo.
Habari na Laudence Simkonda .
Add a commentRead more: Tuhuma za vitendo vya ngono : Madereva bodaboda waonywa.
Jeshi la kuhifadhi wanyapori TANAPA hifadhi ya Taifa Katavi Kanda ya Kusini kwa kushirikina na jeshi la polisi mkoani Rukwa limefanikiwa kuwakamata watu wanne ambao walitaka kutorosha na kusafirisha meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia moja thelathini na saba za kitanzania katika kijiji cha Saafu wilayani Kalambao mkoani Rukwa.
Habari na Brown Lawi.
Add a commentWakazi wa Vijiji vya Shimbi na letu Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro wameeleza kukumbana ya upatikanaji wa huduma ya maji inayowalazimu kutembea hadi nchi jirani ya Kenya baada ya mradi wa maji unaotekelezwa kwenye eneo hilo kuchukua zaidi ya miaka saba bila kukamilika.
Habari na Rodrick Mushi
Add a commentRead more: Kukwama kwa ujenzi wa mradi wa maji: Wakazi Rombo watembea hadi nchini Kenya.
Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Njombe imeendelea kusikiliza kesi inayomkabili Mwalimu Focus Mbilinyi anayekabiliwa na tuhuma za kumpiga mwanafunzi na kumsababishia.
Habari Zaidi na Dickson Kanyika
Add a commentRead more: MWALIMU ALIYEMSABABISHIA MWANAFUNZI ULEMAVU NJOMBE:Kesi yaahirisha hadi Feb. 4, 2020 .
Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo mkoani Morogoro kimeandaa mpango maalumu utakaowawezesha wahitimu wake katika chuo hicho kuweza kujiajiri na kuajiriwa pindi wanapomaliza masomo.
Habari na Peter Laurence..........
Add a commentRead more: CHANGAMOTO YA AJIRA KWA WAHITIMU : Mzumbe yandaa mpango maalum.
Tume ya Vyuo Vikuu nchini TCU imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja baada ya kushindwa kufanya maboresho waliyopewa kwa zaidi ya miaka mitatu.
Taarifa zaidi na Angella Mathayo.
Add a commentRead more: KUSHINDWA KUFANYA MABORESHO:TCU yafuta hati za usajili wa baadhi ya vyuo vikuu .
Hospital ya Rufaa ya KCMC iliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro imeanza kuzalisha hewa ya oksijeni kama moja ya harakati za kukabiliana na upungufu hewa hiyo inayotumika kwa wagonjwa wenye mfumo hafifu wa upumuaji ikiwa pamoja na Watoto njiti.
Taarifa zaidi na Zephania Renatus…………
Add a commentRead more: MFUMO HAFIFU WA UPUMUAJI KWA WAGONJWA:KCMC yaanza kuzalisha hewa ya Oksijeni
Serikali imemtahadharisha mkandarasi anayetekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa kituo cha Daladala Manispaa ya Morogoro kuwa huenda akabomoa na kuanza kujenga upya kwa gharama zake jengo la Utawala linalogharimu kiasi cha shilingi Milioni 400 itakapobainika kujengwa chini ya kiwango.
Habari na Omary Hussein
Add a commentRead more: UJENZI WA KITUO CHA DALADALA:Mkandarasi Morogoro matatani.
Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.