Star Tv

Jeshi la kuhifadhi  wanyapori TANAPA  hifadhi ya Taifa Katavi  Kanda ya Kusini kwa kushirikina  na jeshi la polisi mkoani  Rukwa limefanikiwa  kuwakamata watu wanne ambao  walitaka  kutorosha na kusafirisha meno ya tembo yenye  thamani ya zaidi ya  shilingi milioni mia moja thelathini na saba  za kitanzania katika  kijiji cha Saafu  wilayani Kalambao mkoani Rukwa.

Habari na Brown Lawi.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habri Kamishina  Mwandamizi TANAPA Kanda ya kusini Christofa Timbuka amesema kukamatwa kwa wahalifu  hao kunatokana na ushirikiano kati ya TANAPA ,raia wema na vyonmbo vingine vya ulinzi na usalama

Kamishina Mwandamizi  wa TANAPA  Kanda ya Kusini ameitaka jamiii kuendelea kutoa ushirikiano kwa serikali katika kukomesha vitendo hivyo vya ujangili .

Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho cha Saafu wakioneshwa kusikitishwa na matendo ya ujangili wanasema suala la ujangili linapaswa kukemewa vikali ili kukomeshwa kwakuwa lipoteza pato la taifa na vitendo hivyo vinaharibu shughuli za utalii pamoja nakuikosesha serikali fedha za kigeni.

                                                                              Mwisho.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.