Star Tv

Wakazi wa mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za utamaduni zilizopo katika maeneo yao ili kuendeleza utalii kwa kuinua uchumi na kuboresha hali ya maisha ya wananchi wa eneo hilo.

 Taarifa na Stellah Joseph

Add a comment

 

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka kwenye chama.hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi leo February 18, 2020 ambapo amepokelewa na katibu wa itikadi na uenezi wa chama tawala cha Cha Mapinduzi  Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba Dar.

Add a comment

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemuhakikishia Ushirikiano Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu ili aweze kutekeleza vyema majukumu yake hasa yale yanayohusu Muungano.

Add a comment

 

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amekutwa na kesi ya kujibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Add a comment

Mwili wa aliyekuwa waziri wa viwanda na baishara katika serikali ya awamu ya tatu Idd Simba umezikwa Ijumaa hii jijini Dar es salaam huku baadhi ya viongozi mbalimbali wa Kisiasa na dini wakizungumzia uchapa kazi na uthubutu wake katika kuleta maendeleo wakati wa uhai wake.

Taarifa na Athuman Mihula.

Add a comment

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu wa kutazama upya sheria zinazosimamia mwenendo wa usalama wa chakula nchini ili kuondoa malalamiko ya wafanyabiashara.

Add a comment

Ndole ni kijiji ambacho kipo pembezoni mwa Wilaya ya Mvomero katika milima ya Ndole, wakazi wa kijiji hicho wengi wao  wakijishughulisha zaidi na kilimo cha mazao ya Ndizi, maharage pamoja na magimbi ambayo yamekuwa yakisafirishwa sehemu mbalimbali nchini.

Add a comment

Jeshi la Polisi Nchini limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 504 wa matukio mbalimbali ya uhalifu akiwemo Mganga wa kienyeji Itawa Mwanamiwa na mwenzake Tabu Mwanduru ambao waliwaaminisha watu kuua Wanawake 50 na kuwabaka ili kupata utajiri hali iliyopelekea Wanawake 29 kuuwawa na kubakwa katika maeneo ya Wilaya za Kwimba,Misungwi na Mkoa wa Shinyanga.

Taarifa na Salma Mrisho

Add a comment

Mfanyabiashara James Rugemalira, ametoa notisi kwa taasisi kadhaa akiwemo Mkurugenzi wa Mashitaka nchini DPP akiomba amtoe kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.