Serikali ya Ethiopia imeishutumu Sudan kuchochea mgogoro kati ya mataifa mawili ambayo yamekuwa katika mvutano kutokana na mzozo wa mpaka.
Add a commentMahakama ya kijeshi ya Uganda imewahukumu kifungo cha siku 90 jela wanajeshi 7 baada ya kushtakiwa kwa kuwashambulia waandishi wa habari.
Add a commentJeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine kumtembelea nyumbani kwake Magere anakozuiwa na vikosi hivyo kwa zaidi ya juma moja.
Add a commentMaafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema zaidi ya watu 60 wamezama baada ya mashua kupinduka na kuzama katika mto Congo.
Add a commentPolisi wamemkamata mwanamume mmoja aliyejulikana kwa jina la Abubakar Amodu mwenye umri wa miaka 20, ambaye alipanga njama na genge moja na kumteka nyara baba yake mzazi na baadaye akapokea milioni 2 za Nigeria kama fidia.
Add a commentRais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa [ ... ]
Mwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka s [ ... ]
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.