Rais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja na kituo cha kimataifa cha mabasi cha Mbezi Luis.
Add a commentRead more: RAIS MAGUFULI AWAONYA WAKANDARASI WANAOCHELEWESHA MIRADI.
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
Add a commentMamia ya wazanzibari wanaendelea kumiminika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja vilivyopo mjini Ujunga ambapo ndipo mwili wa aliyekuwa makamo wa kwanza wa Urais Zanzibar utakapopelekwa kwa ajili ya dua kabla ya kusafirishwa kijijini kwake Mtambwe, kisiwani Pemba.
Add a commentRead more: MAMIA WAJITOKEZA UNGUJA KUUPOKEA MWILI WA MAALIM SEIF SHARIF.
Rais wa Tanzania John Magufuli hii leo Februari 19,2021 ameongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi John Kijazi.
Add a commentRead more: RAIS MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA BALOZI KIJAZI.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi amefariki dunia.
Add a commentMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amezikwa nyumbani kwake katika kijiji cha Mtambwe Nyali mkoa wa Kaskazini Pemba.
Add a commentMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya Shilingi Bilioni 38.1 kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma kama ilivyoanishwa na kanuni za ubora wa huduma za mwaka 2018.
Add a commentRead more: KAMPUNI SITA ZA SIMU ZATOZWA FAINI YA SHIL. BIL. 38.1
Picha mbalimbali za matukio ya msiba wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa rais Zanzibar baada ya kuwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo maelfu wamejitokeza kuomboleza msiba huo uliotokea jana Februari 17,2021.
Add a commentRead more: BAADA YA MWILI WA MAREHEMU MAALIM SEIF KUWASILI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA.
Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia.
Add a commentRais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa [ ... ]
Mwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka s [ ... ]
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.