Star Tv

Rais Dokta John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali leo Februari 03,2020 ambao  aliwateua hivi karibuni.

Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salam, Rais Magufuli amewataka viongozi hao kufanya kazi kwa bidii

Viongozi walioapishwa kwenye hafla hiyo ni pamoja na Makatibu wakuu watano na Naibu Katibu Mkuu mmoja, Makatibu Tawala wa Mikoa Mitatu, Kamishina Jenerali wa Magereza pamoja na Kamishina Jenerali wa Zimasmoto na Uokoaji.

Wengine ni pamoja na Kamishina wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Msajili wa Mahaka ya Rufani pamoja na Msajili wa Mahakama Kuu na Wajumbe watatu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama.

 

                                       Mwisho

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.