Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya Wizara, kuteua Mawaziri na Manaibu Waziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri.
Add a commentRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amesema Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kufanikisha utafutaji na upatikanaji wa mafuta yaliyopo katika bonde la Eyasi Wembere na ziwa Tanganyika nchini ili Tanzania ianze kunufaika na rasilimali hiyo.
Add a commentRead more: JPM aeleza dhamira ya serikali juu ya upatikanaji wa mafuta nchini
Zimeibuka fujo kubwa katika eneo la Jangwanii kufuatia zoezi la bomoabomoa linaloendelea. Inaelezwa kuna kundi kubwa la vijana wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa makundi ya wahuni wakiwa na chupa, visu na mapanga wamefunga kamba eneo lao na wamesikika wakisema wasiguse polisi.
Add a commentRead more: Wakazi Wa Jangwani Wapambana Na Polisi Kuzuia Bomoabomoa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amezindua rasmi zoezi la Ufyatuaji wa Matofali kwaajili ya ujenzi wa Ofisi za kisasa 402 za Walimu ambapo amewasihi Wadau na Wananchi kuunga Mkono jitiada hizo.
Add a commentRead more: Paul Makonda leo amezindua zoezi la Ufyatuaji wa Matofali
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum [ ... ]
Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.