Mamlaka ya mapato nchini Kenya (KRA) inatarajiwa kuzifungia jumla ya nambari ya siri 66,269 za kulipa kodi ambazo hazitumiki kufikia Alhamisi wiki hii, ripoti za vyombo vya habari nchi humo zimesema.
Add a commentWaziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Uganda ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Uganda Jenerali Katumba Wamala, amepigwa risasi na kujeruhiwa na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake katika mji mkuu Kampala.
Add a commentKiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amemtaka jaji Mkuu kujiondoa katika kusikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena Rais Yoweri Museveni.
Add a commentKiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema hali yake ni nzuri na anafuata ushauri wa madaktari kwa kupumzika.
Add a commentMahakama ya kijeshi jijini Kampala Uganda kwa mara ya pili imekataa rufaa ya wafuasi 36 wa chama cha upinzani cha National Unity kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine.
Add a commentMkuu wa jeshi la UPDF Jenerali David Muhoozi ameomba msamaha kwa waandishi wa habari kufuatia tukio la jana wakati polisi wa jeshi la UPDF walipowatandika wandishi habari.
Add a commentJopo la majaji tisa wa Mahakama ya juu nchini Uganda wametangaza kuwa tarehe 18 Machi, 2021 ndiyo watatoa hukumu ya kesi iliyowasilishwa na Robert Kyagulanyi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyompatia bwana Museveni ushindi.
Add a commentMahakama ya Rwanda hii leo imeaanza kusikiliza kesi dhidi ya Paul Rusesabagina na wengine 20 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Add a commentMawakili wa mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine wamewasilisha ushahidi zaidi katika mahakama ya juu zaidi nchini humo dhidi ya matokeo ya uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais yoweri Museveni.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.