Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha maporomoko ya udongo katika wilaya ya Bududa mashariki mwa Uganda.
Add a commentBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limepitisha azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri la jumuiya hiyo, kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji Soko la pamoja uliopitishwa kwa pamoja na nchi hizo......
Add a commentBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, limepitisha azimio la kutaka kupitishwa kwa sheria ya kupiga marufuku utengenezaji na uingizwaji wa sabuni na vipodozi vyenye viambata vya sumu
vinavyodaiwa kuathiri afya za watumiaji hususani wanawake.
Mwanamuziki mwanasiasa Bobi Wine ambaye amekuwa akizuiliwa kwa karibu wiki mbili nchini Uganda ameachiliwa huru kwa dhamana na Mahakama Kuu mjini Gulu, kaskazini mwa nchi hiyo. Mbunge huyo wa Kyadondo Mashariki ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi amepewa dhamana pamoja na wabunge wengine watatu, na watuhumiwa wengine wanane.
Add a commentWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), akila kiapo cha utii mbele ya Bunge la Afrika Mashariki kama Waziri anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania. Tukio hilo ambalo limefanyika kwenye Makao Makuu ya Bunge la Afrika Mashariki jijiji Arusha limeshuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Martin Ngoga.
Add a commentMaafisa wa polisi mjini Nakuru, Kenya wanamzuilia mwanamume anayedaiwa kuwauzia watu nyama ya paka.
Add a commentRwanda leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya Kimbari ambapo watu wapatao 800,000 hasa wa kabila la Watutsi waliuawa. Wajumbe kadhaa wa Kimataifa waliwasili jana Jumamosi katika mji mkuu, Kigali kwa ajili ya kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji hayo ya Kimbari.
Add a commentWalimu pamoja na wafanyakazi wengine wakiume katika shule ya upili ya Moi Girls Nairobi wametakiwa kufanyikwa uchunguzi wa DNA wakati maafisa wa upelelezi wanajaribu kuchunguza tuhuma za kubakwa kwa mwanafunzi katika shule hiyo Ijumaa usiku.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.