Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza kwa kura kura nyingi katika matokeo ya awali yaliyotolewa nana Tume ya uchaguziIjumaa asubuhi.
Add a commentMamlaka nchini Uganda ilikatiza huduma za intaneti saa kadhaa kabla ya uchaguzi wa urais unaokumbwa na ushindani mkali kati ya Bobi Wine na Yoweri Museveni.
Add a commentMgombea wa urais kupitia chama cha upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine amethibitisha kupeleka watoto wake nje ya nchi kwa kuhofia usalama wao.
Add a commentRaia wa Uganda hii leo Januari 14,2021 wanapiga kura kumchagua rais na wawakilishi wapya wa bunge.
Add a commentVyama vya upinzani nchini Uganda wameungana kuwa na kituo chao kimoja cha kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu.
Add a commentMwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda, Jaji Simon Byakama ametangaza kuwa kuanzia leo mtu yeyote hatakiwi kufanya kampeni za namna yeyote ile.
Add a commentRais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua meja generali Kayanja Muhanga kuwa mratibu wa masuala ya usalama nchini Uganda.
Add a commentTume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku wapiga kura kwenda na simu au kamera kwenye kituo cha kupiga kura wiki ijayo tarehe 14.
Add a comment
Serikali ya Rwanda imepiga marufuku usafiri wa umma na wa kibinafsi kati ya wilaya na mji mkuu wa Kigali.
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.