Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini humo imefikia 101 kutoka wagonjwa 100.
Add a commentKenya imerekodi viwango vya juu vya maambukizi ya virusi vya corona kwa siku baada ya wagonjwa wapya 45 kuthibitishwa leo na kufikisha idadi ya watu 535 waliopatikana na ugonjwa wa Covid -19.
Add a commentWizara ya Afya nchini Uganda imethibithisha kuwa watu wenye maambukizi ya Virusi vya Corona nchini humo wamefikia 74 baada ya watu 11 kupimwa na kubainika wameambukizwa virusi hivyo.
Add a commentKenya imeripoti jumla ya visa 411 vya maambukizi ya virusi vya corona Ijumaa ya leo Aprili 01,Mei,2020.
Add a commentWizara ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la wagonjwa 15 wapya waliothibitishwa kuwa na virusi vya corona na kufanya wagonjwa waliopata maambukizi ya Corona nchini humo kufikia 296.
Add a commentSerikali ya Kenya imetangaza kuwa itaanza kufungua hoteli zake kwa kuzingatia masharti ya kuwapima wahudumu wa afya na ikiwa hawatakuwa na maambukizi ya virusi vya Corona ndio wataweza kuhudumu kwenye hoteli hizo.
Add a commentWizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID-19, ambapo mgonjwa huyo mmoja wa Corona aliyetangazwa leo anaongeza idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo nchini humo kufikia 56.
Add a commentWizara ya afya nchini Uganda imetangaza wagonjwa wanne wapya wa virusi vya corona na kufanya idadi ya walioathirika na ugonjwa huo kufikia 79.
Add a commentIdadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa leo Jumatatu.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.