Star Tv

Mbunge mteule nchini Kenya, Didmas Barasa, amejisalimisha kwa polisi baada ya kutafutwa kwa siku tatu kutokana na tukio la kufyatua risasi na kumuua msaidizi wa mpinzani.

Polisi wanamchukulia Barasa kama mshukiwa wa kisa cha mauaji kilichotokea katika kituo cha kupigia kura siku ya kupiga kura nchini humo.

Polisi wamesema kwa sasa anasaidia mamlaka katika uchunguzi wa tukio hilo.

Aidha Wakili wa mbunge huyo mteule alituma maombi ya dhamana siku ya Alhamisi akisubiri kukamatwa kwake.

#ChanzoBBC

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.