Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda, Jaji Simon Byakama ametangaza kuwa kuanzia leo mtu yeyote hatakiwi kufanya kampeni za namna yeyote ile.
Add a commentTume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku wapiga kura kwenda na simu au kamera kwenye kituo cha kupiga kura wiki ijayo tarehe 14.
Add a comment
Serikali ya Rwanda imepiga marufuku usafiri wa umma na wa kibinafsi kati ya wilaya na mji mkuu wa Kigali.
Mgombea wa urais kupitia chama cha upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine amethibitisha kupeleka watoto wake nje ya nchi kwa kuhofia usalama wao.
Add a commentRais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa bado hajaona mtu mwenye uwezo wa kuiongoza Uganda kwa sasa, hivyo ataendelea kuwa madarakani.
Add a commentVyama vya upinzani nchini Uganda wameungana kuwa na kituo chao kimoja cha kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu.
Add a commentSerikali ya Somalia imekatisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Kenya.
Add a commentRais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua meja generali Kayanja Muhanga kuwa mratibu wa masuala ya usalama nchini Uganda.
Add a commentJeshi la Kenya Defence Forces (KDF) limendelea kuwa na umaarufu wake katika Bara la Afrika kutokana na mafunzo na ushirikiano na nchi kama Israel, Marekani na Uingereza.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.