Star Tv

Idadi ya watu wanaoshukiwa kuwa na Ebola inaendelea kuongezeka nchini Uganda.

Wizara ya afya imesema kumekuwa na wagonjwa 34 wanaoshukiwa kuambukizwa.

Inaaminika kuwa vifo 21 huenda vilisababishwa na virusi vya Ebola.

Timu za afya nchini humo zinaendelea kufuatilia watu ambao wanaweza kuwa wamekutana nao.

Mlipuko huo ulianza katika wilaya ya kati ya Mubende lakini sasa umeenea katika wilaya mbili jirani.

Bado hakuna kesi zilizothibitishwa katika mji mkuu Kampala.

Huu ni mlipuko wa nne wa Ebolanchi ya Uganda kukabiliwa nao huku nchi jirani zikisema ziko katika hali ya tahadhari.

#ChanzoBBC

Latest News

Waziri Mkuu Akagua Visima Vya Dharura Dar Es Salaam
10 Nov 2022 13:31 - Kisali Shombe

¬†WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]

Waziri Wa Afya Aagiza Udhibiti Magonjwa Ya Mlipuko
09 Nov 2022 14:15 - Kisali Shombe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum  [ ... ]

Vifo vitokanavyo na Utoaji wa Mimba usio salama, Kudhibitiwa
09 Nov 2022 13:21 - Kisali Shombe

Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.