Tume ya Mawasiliano ya Uganda ilitangaza wiki iliyopita ikieleza kuwa kuanzia sasa mtu yeyote anayechapisha maudhui mtandaoni atalazimika kujiandikisha kabla ya Oktoba 5,2020.
Add a commentMbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.
Add a commentRais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameondoa masharti ya usafiri wa kuingia na kutoka katika miji ya Nairobi, Mombasa na Mandera kaskazini mwa nchi.
Add a commentMwanasiasa mkongwe wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye amewahi kuwania urais mara nne, ametangaza kuwa hatawania tena wadhifa huo wakati wa Uchaguzi Mkuu mapema mwaka 2021.
Add a commentRais Uhuru Kenyatta ameutaja ushindi wa Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa baada ya kushinda Djibouti katika duru ya pili ya uchaguzi Alhamisi ni ushindi uliotukuka kwa kuonyesha baraza la Afrika nalo linaweza ungana na mataifa mengine makubwa ulimwengu kushiriki mambo duniani.
Add a commentMuungano wa wanahabari nchini Burundi, umetoa wito kwa rais Évariste Ndayishimiye kuwasamehe wanahabari wanne wa Gazeti binafsi la Iwacu, waliofungwa jela kwa kosa la kutishia usalama wa nchi hiyo.
Add a commentRais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la idadi ya watu walioambukuzwa virusi vya corona katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Add a commentSerikali imetangaza kuanzia tarehe 01 hadi 08 Agosti, 2020 kutafanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima Nanenane ambapo kitaifa yatafanyika katika viwanja vya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu.
Add a commentRais Uhuru Kenyatta ametangaza mipango ya kusaidia biashara na raia wa Kenya kusonga mbele katika kipindi hiki cha mdororo wa kiuchumi kwasababu ya janga la virusi vya corona.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.