Star Tv

Mwili wa hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli utazikwa katika makaburi ya familia huko wilayani Chato, mkoani Geita leo Machi 26,2021.

Add a comment

Wananchi wakiweka nguo na majani katikati ya barabara ambayo mwili wa aliyekuwa Raisi wa Tanzania Hayati, DK, John Pombe Magufuli ukipita ikiwa ni ishara ya heshima na kumwaga katika safari yake ya mwisho. Haya ni baadhi ya maeneo ya mkoa wa Geita kuelekea wilayani Chato ambapo mwili wake utapumzishwa siku ya ijumaa tarehe 26/03/2021.

Add a comment

Mgomo wa Mabasi uliotangazwa na Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA kuafanyika leo Machi 10, kwa upande wa Mkoa wa Mwaza umezuiwa.

Add a comment

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini.

Add a comment

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania TEC limetoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari zaidi dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona.

Add a comment

Mwili wa Hayati John Magufuli tayaari umewasili Visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amani kwa ajili ya kuagwa na Wazanzibari.

Add a comment

Rais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja na kituo cha kimataifa cha mabasi cha Mbezi Luis.

Add a comment

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 14 za maombolezo pamoja na bendera kupepea nusu mlingoti kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Maguful kilichotokea Machi 17,2021.

Add a comment

Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.

Add a comment

Latest News

“MAISHA HAYAJI MARA MBILI, TUSIPOTOSHE KUHUSU CHANJO”-IGP. Simon Sirro.
29 Jul 2021 11:30 - Grace Melleor

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP. Simon Sirro, amewataka Wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wacha [ ... ]

“MIMI NI MAMA, BIBI, MKE NA RAIS, SIWEZI KUJIWEKA KATIKA HATARI”-Rais Samia....
28 Jul 2021 10:26 - Grace Melleor

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19, Ambayo ameizindua leo Julai 28, Katik [ ... ]

MSICHANA AUAWA KWA KUVAA JEANS.
28 Jul 2021 09:51 - Grace Melleor

Msichana mmoja aliyejulikana kwa jina la Neha Paswan, mwenye umri wa miaka 17, anadaiwa kupigwa hadi kufa na watu wa fam [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.