Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao.
Add a commentRead more: TAMKO LA MAJALIWA JUU YA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU AMANI.
Siku chache Baada ya CCM kushauri serikali kufuta tozo, pamoja na kelele za muda mrefu za Wananchi kuhusu tozo, Waziri wa Fedha na Mipango Dokta Mwigulu Nchemba ametangaza kufuta baadhi ya Tozo.
Add a commentTume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua awamu ya pili ya maombi ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Add a commentRead more: TCU YAFUNGUA AWAMU YA PILI UDAHILI WA VYUO VIKUU.
Serikali imezielekeza Halmashauri zote nchini kuanisha maeneo ya kimkakati ili ujenzi wa vituo vya afya vijengwe katika maeneo hayo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Add a commentRead more: HALMASHURI ZAAGIZWA KUANISHA MAENEO YA KIMKAKATI UJENZI VITUO VYA AFYA.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takwimu za Sensa ya Watu na Makazi zitawasaidia wafanyabiashara kutathmini uwezo wao wa kibiashara au uwezo wa mitaji kutoa faida na kutafuta maeneo mapya ya uwekezaji.
Add a commentRead more: WAZIRI MKUU AENDELEA KUPIGIA CHAPUO ZOEZI LA SENSA.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ametoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuweka mpango wa matumizi ya ardhi katika eneo la Mradi wa wa Chanzo na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba mkoani Mwanza.
Add a commentKatibu Mkuu wa Shrikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesema amesekitishwa na madai ya yaliyekuwa Afisa wa klabu ya Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo Rais wa TFF Wallace Karia alifanya makosa.
Add a commentRead more: VUTA N’KUVUTE YA MANARA NA KATIBU WA TFF YAIBUKA.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Bw. Peter Sands ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Add a commentWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kusimamia usitishwaji wa zuio la bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Add a commentRead more: MAKALLA AAGIZWA KUSITISHA ZUIO LA BAJAJI NA BODABODA DSM.
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.