Star Tv

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Uganda ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Uganda Jenerali Katumba Wamala, amepigwa risasi na kujeruhiwa na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake katika mji mkuu Kampala.

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema waliwaona watu wenye silaha wakiwa kwenye pikipiki na baada ya kutekeleza tukio hilo walikimbia.

Jenerali Wamala alikuwa mkuu wa jeshi la UPDF mwaka 2013 hadi 2017 baadaye akapewa cheo cha waziri wa ujenzi na uchukuzi.

Aidha, kwa wakati huu waziri huyo ni mmoja wa wabunge 10 wanaowakilisha jeshi la UPDF katika bunge la 11 na Mwaka 2001 hadi 2005 alikuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini humo (IGP).

Latest News

UFARANSA YAZINDUA MAGARI YA UMEME HAPA NCHINI.
20 Oct 2021 15:31 - Grace Melleor

Waziri wa Biashara na uchumi nchini Ufaransa Franck Riester amezindua magari ya umeme yaliyoundwa na kampuni ya E-Motion [ ... ]

UHITAJI WA NYAMA WAONGEZEKA NCHINI.
20 Oct 2021 15:23 - Grace Melleor

Serikali imesema malalamiko yaliyojitokeza hivi karibuni ya kupanda kwa bei ya nyama nchini yanaashiria ukuaji wa sekta  [ ... ]

UGANDA YAZINDUA GARI LA KIVITA LILILOUNDWA NCHINI HUMO.
19 Oct 2021 18:03 - Grace Melleor

Jeshi la Uganda limezindua gari la kivita lililoundwa nchini humo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.