Wanasayansi nchini Afrika Kusini wametoa nakala yao ya chanjo ya Moderna ya Covid-19, hatua ambayo wanasema inaweza kusaidia kuongeza viwango vya chanjo barani Afrika.
Add a commentMwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kosa la kuiba biblia mbili katika duka moja kubwa jijini Nairobi.
Add a commentKundi la ujumbe kutoka Jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika magharibi Ecowas watazuru mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, leo Jumatatu kutathmini hali ilivyo nchini humo.
Add a commentMwanafunzi wa chuo kikuu nchini India amewasilisha kesi dhidi ya shule yake katika wilaya ya Udupi akitaka aruhusiwe kuvaa hijab darasani.
Add a commentKundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.