Mapigano yametokea kati ya kundi la wanamgambo wa Maï-Maï na vikosi vya jeshi la serikali, FARDC, katikati mwa mji mkuu wa Katanga, ya zamani Kusini Mashariki mwa DRC.
Add a commentNchini Mali, Waziri wa zamani wa Ulinzi Bah N'Daw, ataapishwa leo Ijumaa jijini Bamako kuwa rais wa mpito wa nchi hiyo kwa muda wa miezi 18 ijayo, baada ya kuteuliwa na viongozi wa jeshi mapema wiki hii.
Add a commentWaziri Mkuu wa Libya Fayez el-Sarraj ametangaza kuachia wadhfa wake wa uwaziri mkuu mwishoni mwa mwezi Oktoba 2020.
Add a commentKatika kipindi cha miezi sita, katika mkoa wa Ituri, zaidi ya watu 1,800 wameuawa huku 1,600,000 wameyatoroka makazi yao, shule 300 zimeharibiwa katika mkoa wa Ituri, kulingana na Radio ya Umoja wa Mataifa nchini DRC, OKAPI, ikimnukuu mbunge Jackson Ausse.
Add a commentRais wa zamani wa Mali Moussa Traoré amefariki dunia leo Jumanne Septemba 15,2020.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.