Takriban watu 50 wanadaiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo katika mgodi wa dhahabu karibu na eneo la Kamituga mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, shirika moja lisilo la kiserikali katika eneo hilo limesema.
Wanajeshi wanne wa Mali wameuawa katika shambulio lililotokea katikati mwa nchi hiyo Jumarano wiki hii.
Add a commentMkutano wa pili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, unafanyika leo Ijumaa Agosti 28082020 tangu kufanyika kwa mapinduzi nchini Mali.
Add a commentJeshi la Nchini Mali limeendelea kugonga vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufikia maamuzi ya kuteua viongozi katika nyadhifa mbalimbali leo Septemba 02,2020.
Kamati ya Kitaifa ya Wokovu wa Wananchi (CNSP), chombo kilichoundwa na kundi la jeshi lililofanya mapinduzi nchini Mali, Agosti 18, kinaendelea kujidhatiti. Viongozi kadhaa wameteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali wakati rais aliye kuwa Ibrahim Boubacar Keïta akilazwa hospitalini.
Add a commentWapiganaji wa kundi la waasi wa Kiislamu kutoka Uganda la ADF wanashtumiwa kuua watu wasiopungua 20 katika shambulio waliotekeleza katika vijiji vitatu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kilomita 30 kaskazini magharibi mwa mji wa Beni.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.