Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ameahidi kutokomeza kundi la Al Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo hao wa Kiislamu kufanya uvamizi mbaya wa saa 30 kwenye hoteli moja mjini Mogadishu.
Add a comment#BreakingNews
Mgombea Urais wa Chama Cha UDA William Ruto ametangazwa kushinda kiti cha Urais kwa kuibuka kidedea kwa asilimia 50.49% ya kura ambapo aliyekuwa Mpinzani wake Raila Odinga wa Chama ODM amepata 48.85% ya Kura.
Maafisa nchini Zambia wamemrejesha raia wa China ambaye alikimbia kutoka Malawi mwezi uliopita kwa tuhuma za kuuza video za kudhalilisha watoto wa Malawi.
Add a commentWaandamanaji katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshambulia na kuharibu kambi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa kushinika ziondoke nchini humo.
Add a commentMkuu wa Umoja wa Afrika, Rais Macky Sall wa Senegal, ameeleza "wasiwasi mkubwa" kutokana na kuongezeka kwa mvutano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.
Add a commentWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum [ ... ]
Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.