Jenerali mwandamizi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi hivi karibuni nchini Sudan, Abdel-Fattah Burhan, amejiteua tena kuongoza baraza tawala la mpito, ikiwa ni hatua inayoashiria nia yake ya kuimarisha udhibiti madarakani.
Add a commentVikosi vya usalama nchini Sudan vimerusha vitoa machozi kwa waandamanaji ambao wanapigania demokrasia katika mji mkuu wa Khartoum.
Add a commentNyumba ya Waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok imezingirwa na wanajeshi.
Add a commentPolisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano inayofahamika kama Hisbah imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 26 kwa jina Aliyu Na Idris ambaye taarifa yake imekuwa ikienea kwenye mitandao ya habari ya kijamii wikiendi iliyopita kwa kutangaza kuwa anataka anunuliwe kutokana na "umasikini".
Add a commentSerikali ya Nigeria katika jimbo la Kwara imesema imemsimamisha mkuu wa shule ya Quran katika jimbo hilo baada ya video kusambaa ikionesha makundi ya wanafunzi wakiwa wanaadhibiwa na wenzao kwa kutokuwa na nidhamu.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.