Star Tv

Mwanafunzi wa chuo kikuu nchini India amewasilisha kesi dhidi ya shule yake katika wilaya ya Udupi akitaka aruhusiwe kuvaa hijab darasani.

Kaka yake, Mubarak Faruk, aliwasilisha kesi kwa niaba ya dada Resham Faruk na wanaamini kuwa kuvaa hijab ni haki yao ya kikatiba.

Rais wa bodi ya chuo kikuu, ambaye alikutana na waandamanaji waliokuwa wakipinga uvaaji wa hijab, alisistiza kuwa wanafunzi hawapaswi kuruhusiwa kuvaa kuingia darasani.

#ChanzoBBCSwahili

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.