Maafisa nchini Zambia wamemrejesha raia wa China ambaye alikimbia kutoka Malawi mwezi uliopita kwa tuhuma za kuuza video za kudhalilisha watoto wa Malawi.
Add a commentMkuu wa Umoja wa Afrika, Rais Macky Sall wa Senegal, ameeleza "wasiwasi mkubwa" kutokana na kuongezeka kwa mvutano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.
Add a commentBinti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Sharia Court) katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria kwa madai ya kukataa aolewe na mpenzi wake Bashir Yusuf.
Add a commentRais wa Senegal Macky Sall amesema atasafiri hadi Urusi na Ukraine hivi karibuni katika wadhifa wake kama mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika kwa lengo la kuzuru nchi hizo mbili.
Add a commentRais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan amejitosa tena kuwania kurejea madarakani katika uchaguzi wa mwaka ujao baada ya kuhama chama cha siasa, Ambapo amejiunga na chama tawala cha All Progressives Congress (APC) ambacho kilimshinda mwaka 2015 baada ya kukaa madarakani kwa miaka mitano.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.