Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika ziara yake ya kwanza katika nchi jirani baada ya mvutano wa mwaka 2019 na kusababisha kufungwa kwa mpaka wa nchi hizo mbili kwa miaka mitatu.
Add a commentMwili wa Rais wa zamani wa Kenya wa tatu Emilio Mwai Kibaki umewasili katika majengo ya Bunge kwa ajili ya kuagwa. Hii leo mwili huo utaagwa na Rais Uhuru Kenyatta, Naibu Rais William Ruto, mawaziri, mabalozi, wakuu wa jeshi na viongozi wengine wakuu wa serikali.
Add a commentMahakama ya kijeshi nchini Burkina Faso imemuhukumu rais wa zamani Blaise Compaore kifungo cha maisha gerezani kwa kuhusika katika mauaji ya mtangulizi wake Thomas Sankara mwaka 1987.
Add a commentMapigano mapya yameibuka mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika jimbo la Kivu Kaskazini Mapema asubuhi ya leo Jumatano.
Add a commentMapigano yameripotiwa kati ya watu wenye silaha na vikosi vya usalama vya Ethiopia katika mji wa Moyale kusini mwa Ethiopia karibu na mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ya Kenya.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.