Kundi la jeshi linaloshikilia madarakani nchini Mali limetoa nafasi kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kukutana na rais Ibrahim Boubacar Keïta na kuchukua hatua ya kuwaachilia huru wafungwa wawili kabla ya ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS kuwasili jijini Bamako Jumamosi.
Add a comment
Wanajeshi hao pia wametangaza kuunda Kamati ya Kitaifa kwa niaba ya raia, na kwamba wataheshimu mikataba yote ya kimataifa.
Wanamgambo wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wamekiri kuwa wao ndio wametekeleza shambulio kubwa katika hoteli maarufu huko Mogadishu, inayotembelewa na maafisa wa serikali, na kuwaua raia kumi na afisa mmoja wa polisi, kulingana na ripoti rasmi iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Jumatatu.
Add a commentRais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na Jeshi la nchi hiyo.
Add a commentTaifa la Zimbabwe limesema lipo mbioni kupitisha sheria mpya ambayo itatoa adhabu kali kwa vyama vya kisiasa vinavyofanya kampeni za kuharibu jina la nchi hiyo.
Add a commentJeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Abiria wote kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo hawataruhusiwa kuingia nchini Uingereza na katika matai [ ... ]
Polisi wamemkamata mwanamume mmoja aliyejulikana kwa jina la Abubakar Amodu mwenye umri wa miaka 20, ambaye alipanga nja [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.