Star Tv

#BreakingNews
Mgombea Urais wa Chama Cha UDA William Ruto ametangazwa kushinda kiti cha Urais kwa kuibuka kidedea kwa asilimia 50.49% ya kura ambapo aliyekuwa Mpinzani wake Raila Odinga wa Chama ODM amepata 48.85% ya Kura.

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ametangaza matokeo hayo jioni ya leo Agosti 15,2022 ambapo pia amemkabidhi Ruto cheti cha ushindi wa Urais.

Katika hotuba yake ya kwanza Ruto aliyoitoa mara baada ya kutangazwa kushinda kiti cha Urais amewashukuru Wakenya wote waliokuwa katika safari yake ya kugombea Urais na waliojitolea katika hali na mali huku akiwaahidi kwamba atafanya kazi kwa bidii pasipokuwaangusha ili kuisongesha Kenya mbele.

 

Latest News

Waziri Mkuu Akagua Visima Vya Dharura Dar Es Salaam
10 Nov 2022 13:31 - Kisali Shombe

¬†WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]

Waziri Wa Afya Aagiza Udhibiti Magonjwa Ya Mlipuko
09 Nov 2022 14:15 - Kisali Shombe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum  [ ... ]

Vifo vitokanavyo na Utoaji wa Mimba usio salama, Kudhibitiwa
09 Nov 2022 13:21 - Kisali Shombe

Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.