Star Tv

ATLETICO Madrid wamelaani unyanyasaji wa ubaguzi wa rangi unaoelekezwa kwa mshambuliaji wa Real Madrid Vinicius Junior na kuahidi kufukuzwa mara moja kwa wanachama waliohusika.

Sakata hilo limezua mjadala baada ya wakala wa soka Pedro Bravo kumtaka winga huyo wa Real Madrid kuacha kucheza kama nyani ikiwa ndio mtindo wake wa ushambuliaji, aidha Vinicius aliapa kuendelea kushangilia kwa njia hiyo na anaungwa mkono na wachezaji wenzake wakiwemo raia wenzake Neymar Pele na Gabriel Jesus. Lakini bado alilengwa na baadhi ya mashabiki wa Atletico kabla ya mechi ya jumapili. Atletico wamechelewa kuzungumzia unyanyasaji aliofanyiwa na mshambuliaji huyo na kutoa ushirikiano wao kwa polisi.

Latest News

MUHUDUMU MWINGINE AFARIKI KWA EBOLA UGANDA.
05 Oct 2022 12:44 - Grace Melleor

Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha kifo cha mhudumu mwingine wa afya, ambaye amefariki alfajiri ya leo Jumatano. [ ... ]

KIONGOZI MKUU WA IRAN AILAUMU MAREKANI NA ISRAEL.
04 Oct 2022 14:14 - Grace Melleor

Kiongozi mkuu wa Iran amezilaumu Marekani na Israel kwa kuchochea maandamano yaliyoenea nchini humo kufuatia kifo cha mw [ ... ]

WAHITIMU 1,384,340 KUANZA MTIHANI.
04 Oct 2022 13:56 - Grace Melleor

Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika Oktoba tano na sita  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.