Star Tv

Mshambuliaji mashuhuri wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani Gerd Mueller alifariki jana akiwa na umri wa miaka 75.

Taarifa hizi zimethibitishwa na klabu yake ya zamani ya Bayern Munich. Rais wa klabu hiyo Herbert Heiner alisema ni siku ya huzuni kwao na kumtaja Mueller kuwa ni mshambuliaji bora kabisa kuwahi kutokea katika klabu hiyo. Enzi ambazo alikuwa akiwika miaka ya 1960 na 1970, Mueller aliweka rekodi ya kuifungia timu yake ya Bayern katika ligi ya Ujerumani mabao 365, pamoja na kuifungia timu ya taifa ya iliyokuwa Ujerumani Magharibi mara 68 katika mechi 62 za kimataifa.

CHANZO: DW Swahili

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.