Star Tv

Mwamko mdogo miongoni mwa wanariadha wa Tanzania umewafanya wanariadha wa kenya kutamba katika mashindano ya Ngorongoro marathon. Mashindano ya Ngorongoro marathon ya kilometa 21 yamewakutanisha washiriki zaidi ya Mia tano kutoka mataifa mbalimbali yakiwa na lengo la kutangaza Utalii.

 Waziri wa maliasili na Utalii Hamis Kigwangala aliongoza mashindano hayo amewataka watanzani kushiriki kikaamilifu katika shughuli za uhifadhi.

 Hii ni mara  ya kumi  na mbili kwa michuano hiyo kufanyika hivyo hamasa inahitajika zaidi kwa lengo la kupata vipaji vipya vya medani ya riadha huku  mshindi wa kwanzwa kwa wanawake na wanaume akijinyakulia shilingi milioni moja na mshidi wa pili akipata shilingi laki tano na watatu akiondoka na shilingi laki tatu.

Latest News

Dkt. Jafo ofisi yake, imekamilisha taratibu zote za kupata Ithibati ya Kitabu ch...
24 Apr 2023 09:38 - Kisali Shombe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewasilisha bungeni Hotuba ya Ma [ ... ]

TARI, Ukiruguru kuzindua Kifaa cha kupandia Mbegu cha Rafiki
23 Apr 2023 18:33 - Kisali Shombe

Sekta ya Kilimo ni mhimili wa uchumi wa Tanzania na imekuwa ikichangia Pato la mkulima mmoja mmoja, kaya na Taifa kwa uj [ ... ]

Wanawake kuwa sehemu ya Elimu dhidi ya Itikadi Kali na Ugaidi Afrika.
17 Apr 2023 10:28 - Kisali Shombe

Mnamo Oktoba 14, 2017, Mogadishu, Somalia ilikumbwa na shambulio baya la kigaidi lililoua watu 587 na kujeruhi zaidi ya  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.