Star Tv

ARSENAL inayonolewa na Kocha Mkuu Mikel Arteta, imepoteza kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford.

Kwenye mchezo huo uliokuwa na kasi kubwa watupiaji ni Antony dakika ya 35, Marcus Rashford huyu alitupia mawili dakika ya 66 na 75 kwa upande wa United. Arsenal wao waliokuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo bao la kufutia machozi lilifungwa na Bukayo Saka dakika ya 60. Licha ya kichapo hicho Arsenal inaongoza ligi ikiwa na pointi 15 baada ya kucheza mechi sita huku Man United ikiwa nafasi ya tano na pointi 12.

 

Latest News

MUHUDUMU MWINGINE AFARIKI KWA EBOLA UGANDA.
05 Oct 2022 12:44 - Grace Melleor

Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha kifo cha mhudumu mwingine wa afya, ambaye amefariki alfajiri ya leo Jumatano. [ ... ]

KIONGOZI MKUU WA IRAN AILAUMU MAREKANI NA ISRAEL.
04 Oct 2022 14:14 - Grace Melleor

Kiongozi mkuu wa Iran amezilaumu Marekani na Israel kwa kuchochea maandamano yaliyoenea nchini humo kufuatia kifo cha mw [ ... ]

WAHITIMU 1,384,340 KUANZA MTIHANI.
04 Oct 2022 13:56 - Grace Melleor

Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika Oktoba tano na sita  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.