WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua mradi wa ujenzi na ukarabati mkubwa wa kituo cha afya cha kata ya Koromije wilayani Misungwi na amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejipanga vizuri kuboresha huduma za afya.
Add a comment.
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kufuatia majibizano ya risasi baina yao na polisi wakati wakiwapeleka askari hao ili kuwaonesha katika eneo la maficho mahala ambapowalikuwa wakitunzia silaha mbalimbali walizokuwa wakizitumia katika matukio kadhaa ya uhalifu katika eneo la Kiraka Cheusi nje kidogo ya barabara kuu ya Nyakanazi- Rusumo wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
Add a commentRead more: Watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi wauwawa, Biharamulo.
CHAMA cha kusafirisha viumbe pori hai nje ya nchi TWEA kimemuomba Rais Dkt; John Pombe Magufuli kuingilia kati sakata la kuzuiliwa kwa
biashara hiyo ili kuendelea na biashara baada ya kuzuiliwa na aliekuwa Waziri wa maliasili na utalii mwaka 2016 Prof Jumanne Maghembe.
Spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania ndugu, Job Ndugai amewataka watanzania kuonesha uzalendo kwa kutumia ndege za shirika la ndege la Tanzania kuonesha uzalendo na kujivunia kodi yao iliyonunua ndege hizo kwa Mataifa mengine.
Add a commentWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa amezindua soko kuu la Madini ya Dhahabu Mkoa wa Geita,huku akisisitiza watumishi wa serikali wakiwemo wa sekta ya madini kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kuhakikisha wanaondoa vikwazo vinavyoweza kujitokeza katika uendeshaji wa soko hilo.
Add a commentRead more: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Soko la Madini ya Dhahabu, Geita
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuendelea kuunga mkono CUF kwasababu wamekijenga kwa muda mrefu kwa kudai haki katika nyanja mbalimbali ikiwemo demokrasia ya kweli na kupata katiba mpya.
Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimio ya mkutano mkuu uliyofanyika wiki iliyopita.
Amewataka wanachama wa chama wanaohama chama hicho kutofanya vitendo vya kijinai kwa kuchoma moto bendera ya CUF pamoja na kubadilisha rangi ya ofisi za chama hicho.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameshauri vyombo vya kutoa haki viweke mikakati ya namna ya
kupunguza mahabusu, akidai kwamba vyombo hivyo kama vitapitia vizuri makosa ya mahabusu hao, itagundua kuwa nusu ya wafungwa walioko
magerezani hawakustahili kuwepo huko.
Add a commentRead more: Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Vyombo vya Haki
Read more: Sakata la CUF, viongozi 50 kuchukua kadi za ACT Wazalendo
Fuvu la kichwa na mabaki ya mwili wa mwanafunzi Alex Pastory wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Nyugwa wilayani Nyang’hwale mkoani Geita kimekutwa kwenye shamba la mwananchi mmoja sababu za kifo chake zikiwa bado hazijafahamika.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.