Star Tv

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuendelea kuunga mkono CUF kwasababu wamekijenga kwa muda mrefu kwa kudai haki katika nyanja mbalimbali ikiwemo demokrasia ya kweli na kupata katiba mpya.

Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimio ya mkutano mkuu uliyofanyika wiki iliyopita.

Amewataka wanachama wa chama wanaohama chama hicho kutofanya vitendo vya kijinai kwa kuchoma moto bendera ya CUF pamoja na kubadilisha rangi ya ofisi za chama hicho.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.