Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mashindano ya AFCON U17 na kutangaza kuwa kuanzia leo Watanzania wataingia bila kulipia.
Add a commentRead more: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mashindano ya AFCON U17
Shehena ya samaki aina ya dagaa zinazokadiliwa kufikia tani elfu kumi na sita zenye thamani ya zaidi ya shiring million 38 zimekamatwa na vikosi vya udhibiti rasilimali za ziwa Victoria mkoani Mara zikiwa ndani za Boti mbili za Mv Ing’ang’a zikitoroshwa kwenda nchi jirani ya Kenya kuuzwa.
Add a commentRead more: Shehena ya samaki yakamatwa ikitoroshwa kwenda nchini, Kenya.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mikutano ya kipupwe(Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika mjini Washington DC, Marekani.
Add a commentRead more: Tanzania kutetea maslahi yake katika mikutano ya benki ya dunia na IMF
Gari Moshi ya mizigo iliyobeba shehena ya ngano iliyokuwa inatokea Dar es Salaam kuelekea mikoa ya kanda ya ziwa mpaka Kampala nchini Uganda imepata ajali usiku wa kuamkia Aprili kumi na tatu katika eneo la Kola Manispaa ya Morogoro na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri wanaotumia njia hiyo kutokana na reli ya njia hiyo kung’oka kabisa.
Add a comment
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali na Watanzania wote wataendelea kumuenzi shujaa wao, Marehemu Edward Moringe Sokoine.
Add a commentRead more: Kumbukumbu ya miaka 35 ya kumuenzi Marehemu Edward Sokoine.
Read more: Ulevi uliokithiri kusababisha watoto kukosa malezi bora
Mahakama kuu kanda ya Musoma mkoani Mara imepokea kesi zaidi ya mia mbili zikiwemo mpya hamsini ambazo zimefunguliwa na wananchi waliokuwa wamekosa fursa ya kwenda mahakama kuu ya kanda ya ziwa iliyopo jijini Mwanza kutokana na kutokuwa na fedha na gharama za kujikimu.
Add a commentKatika jitihada za kukabiliana na uvamizi wa tembo kwenye mashamba ya wananchi mkoani Rukwa, wakala wa hidfadhi za mistu wilayani kalambo wameanzisha mradi wa ufugaji nyuki ambao utasaidia wananchi kujikwamua na hali ya kiuchumi sambamba na kufukuza tembo kwenye mashamba yao.
Add a commentRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Aprili, 2019 amezindua mradi wa njia ya umeme ya msongo wa KV 220 kutoka Makambako hadi Songea na ameweka jiwe lamsingi la ujenzi wa kituo cha mabasi na barabara za lami katika Manispaaya Songea Mkoani Ruvuma.Sherehe za uzinduzi wa mradi wa njia ya umeme zimefanyika katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme kilichopo Unangwa Mjini Songea na zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mke wa Rais Mhe. Mama Janeth Magufuli, Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Anders Sjöberg, Mawaziri, Wabunge na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Godfrey Zambi.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.