Serikali ya Shirikisho la Ujerumani kupitia Mpango wa Kusaidia Majeshi Rafiki imekubali kuongeza kipindi cha kutoa misaada kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 4 zaidi kuanzia mwaka 2021 hadi 2024 ambapo pamoja na mambo mengine itajenga Hospitali kubwa ya Kijeshi yenye kiwango cha “Level 4” Mkoani Dodoma
Add a commentRead more: Rais Magufuli akutana na Balozi wa Ujerumani hapa nchini
Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KfW), imeipatia Tanzania ruzuku ya Euro milioni 127.7, sawa na sh. bilioni 330, kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria katika mkoa wa Simiyu.
Add a commentRead more: Ujerumani yaipatia Tanzania ruzuku ya sh. Bilioni 330.
Wizara ya afya nchini imeitaka halmashauri ya wilaya ya Rorya mkoani Mara kubomoa moja ya majengo mapya ya hospitali inayojengwa katika eneo hilo kutokana na kukosewa kwa ramani hatua inayoweza kusababisha hatari ya kuvujisha mionzi yenye athari kwa binaadam wakati wa utendaji kazi wake.
Add a commentRead more: Jengo la Hospitali kubomolewa kwa hofu ya kupitisha mionzi, Mara.
Read more: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya lakamata Silaha aina ya SMG.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wiki 1 kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Viwanda na Biashara kukamilisha taratibu za uwekezaji kwa kampuni Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius ambayo imecheleweshwa kuwekeza katika uzalishaji wa sukari tangu mwaka 2017.
Add a commentMufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi amewahimiza Waislamu hasa wanaokaa katika mikoa yenye dhahabu kuondoka katika hali ya kawaida ya kuendeisha dini tupu bali iwe dini na uchumi kwa lengo la kuwa tegemezi lakini kuwa na uchumi imara utatoa fursa ya kujisimamia na kuendesha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
Add a commentRead more: Mufti wa Tanzania ahimiza maendeleo katika ziara yake, Geita
Waziri Lukuvi aingilia kati Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 15 baina ya wanakijiji wa mkwajuni kata ya vijibweni wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam na mwekezaji kutoka Korea na kuagiza kupitiwa upya kwa mchakato uliosababisha mgogoro huo ili wananchi wa maeneo hayo waweze kupata haki zao.
Add a commentRead more: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15, Kigamboni.
Hali ya sintofahamu imezuka kwa wakazi wa kata ya Ruhembe wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kufuatia watu 10 wakazi wa kata hiyo kupotea kwa siku 18 mara baada ya watu hao kudaiwa kwenda kufanya shughuli za kibinadamu katika hifadhi ya taifa ya Mikumi kinyume cha sheria na kupotelea huko mpaka sasa .
Add a commentRead more: Watu 10 wapotea katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Wilison Charles(41)mkazi wa Kijiji cha Kharumwa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita amefariki Dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na kifusi cha Udongo katika mgodi usio rasmi uliopo kijiji cha Mwasabuka.
Add a commentRead more: Wachimbaji waangukiwa na kifusi kijiji cha Mwasabuka, Nyangw'ale- Geita.
Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.