Baraza la seneti nchini Marekani limemuondolea mashitaka rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump, ya kuchochea shambulio baya dhidi ya jengo la bunge.
Add a commentWajumbe wa nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wanatarajia kukutana mjini New York baadaye leo kumchagua mwendesha mashitaka mpya wa mahakama hiyo.
Add a commentRais wa Marekani Joe Biden ametumia mazungumzo yake ya kwanza na mwezake wa China Xi Jinping kuelezea wasiwasi wa Washington juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye jimbo la Xinjiang na tabia ya mabavu inayotumiwa na China katika shughuli za uchumi.
Add a commentKiongozi wa upinzani nchini Ethiopia Jawar Mohammed, sambamba na watu wengine 19, wamekuwa kwenye mgomo wa kutokula kwa zaidi ya siku 13, kwa mujibu wa mawakili wao.
Add a commentBaraza la Seneti la Marekani limefikia uamuzi kuwa kesi dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump sio kinyume cha katiba.
Add a commentWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.