Uingereza na Muungano wa Ulaya zimefikia mkataba wa baada ya Brexit kumaliza mvutano wa miezi kadhaa kuhusu kanuni za biashara na haki ya uvuvi.
Add a commentIsrael itafanya uchaguzi wake wa nne katika kipindi cha miaka miwili baada ya vyama vikuu viwili katika serikali ya umoja kushindwa kuheshimu muda wa mwisho wa kutatua mzozo juu ya bajeti ya taifa.
Add a comment
Rais mteule wa Marekani Joe Biden amepokea chanjo ya Pfizer, kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID-19.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amesema matumizi ya chanjo zilizotengenezwa kutokana na seli za mimba zilizotolewa "unakubalika kimaadili".
Add a commentVirusi vya Corona katika bara la Ulaya vimeendelea kuwa tishio hasa kwa viongozi wakuu wa mataifa hayo, ambapo taarifa kutoka ofisi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron imeleeza kuwa Rais huyo amekutwa na virusi hivyo.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.