Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Marekani iko tayari kuikabili China iwapo itahitajika kufanya hivyo, na kuutaja uhusiano wa nchi hiyo na China kama mtihani mkubwa wa kijiografia katika karne hii.
Add a commentMahakama ya ICC imeanza kufanya uchunguzi wa uhalifu wa kivita maeneo ya Palestina.
Add a commentVifo vya waandamanaji wawili wanaopinga mapinduzi nchini Myanmar, leo hii vimezusha lawama mpya kutoka Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa kijeshi.
Add a commentMwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka siku ya Jumatatu, umesafirishwa kwenda mjini Roma.
Add a commentMahakma nchini Urusi imetoa uamuzi wa kesi ya pili iliyokuwa ikimkabili kiongozi wa upinzani Alexei Navalny.
Add a commentWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.