Watu nane wakiwemo wanawake wenye asili ya bara Asia wameuawa katika ufyatuaji risasi jimboni Georgia nchini Marekani.
Add a commentMkosoaji wa utawala wa Kremlin nchini Urusi Alexei Navalny ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa instagram kwamba anazuiliwa katika kambi ya mateso eneo la Vladimir Kaskazini Mashariki mwa mji mkuu, Moscow.
Add a commentRais wa Marekani Joe Biden amesema ifikapo Mei Mosi mwaka huu, kila Mmarekani mwenye miaka 18 ataweza kupata chanjo ya COVID-19.
Add a commentKampuni ya AstraZeneca imebainisha kuwa kwasasa tayari imeanza kuelemewa katika hatua yake ya kusambaza chanjo hiyo ya kudhibiti COVID-19 barani Ulaya.
Add a commentJapan leo inaadhimisha miaka 10 tangu kutokea kwa janga baya zaidi la asili katika historia ya nchi hiyo ambalo ni tetemeko kubwa la ardhi, tsunami na kuyeyuka kwa nyuklia lililoathiri taifa hilo.
Add a commentRais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametakiwa mpaka kufikia Jumatano awe amependekeza adhabu ambayo mahakama kuu [ ... ]
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.