Maafisa waandamizi katika ikulu ya White House wamesema mswada wa Rais Joe Biden unaolenga kutoa uraia kwa wahamiaji Milioni 11 wasio na vibali nchini Marekani, utawasilishwa bungeni kwa ajili ya majadiliano.
Add a commentUtawala wa kijeshi nchini Myanmar umeahidi utaitisha uchaguzi na kukabidhi madaraka.
Add a commentRais wa Marekani Joe Biden amesema hatua ya Baraza la Seneti ya kumuondolea mashtaka rais wa zamani Donald Trump ya kuchochea vurugu kwenye majengo ya bunge ni jambo linalokumbusha kuwa demokrasia imedhoofika.
Add a commentPolisi Mjini New York wameeleza kuwa Baba wa mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka, Nicki Minaj, 64, ameaga dunia baada ya kugongwa na gari kisha dereva kukimbia mjini New York.
Add a commentChina imekataa kutoa data muhimu kwa timu ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) inayochunguza asili ya Covid-19, mmoja wa wanachama wake alisema ni utaratibu wa kawaida.
Add a commentWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.