Idadi ya watu waliofariki kutokana na mfululizo wa milipuko katika kambi ya jeshi katika Jamhuri ya Guinea ya Ikweta imeongezeka na kufikia watu 98.
Add a commentMarekani imebadili uamuzi wa kulegeza kwa muda, vikwazo dhidi ya Bilionea wa Israel Dan Gertler, anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi unaohusisaha biashara ya madini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Add a commentDunia inaadhimisha leo siku ya kimataifa ya Wanawake, kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ''Wanawake katika uongozi: Kufikia mustakabali ulio sawa katika dunia yenye janga la COVID-19.''
Add a commentKiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amekamilisha ziara yake ya kihistoria nchini Iraq, iliyokuwa na nia ya kuleta matumaini katika taifa hilo lililo na wakristo wachache akiwa na ujumbe wa mshikamano, amani na kusameheana.
Add a commentBoti ya uvuvi iliyo na bendera ya China imekwama katika miamba ya matumbawe nchini Mauritius, karibu kilomita 10 kutoka mji mkuu wa, Port Louis.
Add a commentWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.