Star Tv

Waziri mkuu wa Uingereza amesema kufanya mazungumzo na Urusi ili kumaliza vita huenda suala hilo lisiwezekane.

Boris Johnson amenukuliwa akisema "kushughulika na Rais Putin wa Urusi ni sawa na kujadiliana na mamba akiwa ameweka mguu wako kwenye taya zake".

Akizungumza na waandishi wa habari akiwa kwenye ndege kuelekea India, Waziri Mkuu wa Uingereza amesema Putin anaweza tu kukubali mazungumzo ikiwa atapata nafasi ya kuongeza nguvu zake nchini Ukraine.

Boris ameonya kuwa kiongozi huyo wa Urusi anaweza kutafuta kuanzisha mashambulizi mapya katika mji mkuu wa Kyiv huko nchini Ukraine.

Latest News

AMPELEKA MKWE MAHAKAMANI KWA KUMZUIA KUOLEWA.
17 May 2022 06:34 - Grace Melleor

Binti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Shar [ ... ]

WANAJESHI WA UKRAINE WALIOZINGIRWA WALIOKOLEWA.
17 May 2022 05:50 - Grace Melleor

Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa Maurip [ ... ]

JESHI LA NATO KUANZA KUFANYA MAZOEZI KUKABILI VITA.
16 May 2022 09:23 - Grace Melleor

Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa NATO yanatarajiwa kuanza baadaye hii leo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.