Waziri mkuu wa Uingereza amesema kufanya mazungumzo na Urusi ili kumaliza vita huenda suala hilo lisiwezekane.
Add a commentRais wa Ukraine Volodynyr Zelensky amesema taifa lake lingefanikiwa kumaliza vita yake na Urusi kama ingekuwa na silaha bora.
Add a commentBenki ya Dunia imesema inatarajia uchumi wa Ukraine utapungua kwa 45% mwaka huu kutokana na vita.
Add a commentKiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ametoa wito wa kusitishwa kwa vita nchini Ukraine na kufungua njia ya amani kupitia "majadiliano ya kweli".
Add a commentVikosi vya Urusi vimeelekeza nguvu zao kuu katika operesheni "ya uchokozi" inayolenga kuweka udhibiti kamili wa mikoa ya Donetsk na Luhansk, Mkuu wa jeshi la Ukraine amesema katika taarifa yake ya kila siku.
Add a commentMkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]
Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.