Serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya (GNA) yenye makao yake makuu Tripoli, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, imetangaza usiku wa tarehe 18 kuamkia 19 Februari kwamba imesitisha ushiriki wake katika mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Geneva.
Add a commentCyril Ramaphosa rais wa Afrika Kusini amekabidhiwa kijiti cha uongozi wa Umoja wa Afrika kama rais wa umoja wa nchi za Afrika kwa kipindi cha mwaka mmoja kutoka kwa rais wa Misri Abdel Fattah al sisi, katika mkutano wa Umoja huo uliofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.
Add a commentWatoto 26 wamekufa katika ajali ya moto uliounguza shule moja ya Kiislamu karibu na mji mkuu wa Liberia, Monrovia.
Add a commentUchaguzi wa Bunge nchini Ethiopia ambao awali ulikuwa umepangwa kufanyika baina ya mwezi Mei na Juni, sasa utafanyika mwezi Agosti mwaka huu.
Add a commentMaafisa wa usalama nchini Afrika Kusini hapo jana walikabiliana na waporaji kwa kutumia magurunedi na risasi za mpira katika juhudi za kutawanya makundi yaliokuwa yakilenga biashara zinazomilikiwa na raia wa kigeni nchini humo katika eneo la katikati mwa mji wa Johannesburg.
Add a commentRais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa [ ... ]
Mwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka s [ ... ]
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.