Star Tv

Mwanamuziki maarufu Kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Delcato Idengo, amekamatwa na polisi kwa baada ya kushutumiwa kuhamasisha ghasia dhidi ya vikosi vya usalama katika eneo la kaskazini mashabiki.

Mwanamuziki huyo alikamatwa Jumapili huko Kaskazini Mashariki katika mji wa Butembo.

Mashabiki wake walifanya maandamano wakitaka aachiwe huru.

Polisi wa Idengo wamesema watamshtaki kwa kosa la kuhamasisha vurugu dhidi ya polisi na jeshi, lakini bado hajapelekwa mahakamani.

Aidha, Miziki ya Mwanamuziki huyo mara nyingi huwa inakosoa serikali haswa kwa kushindwa kurejesha amani mashariki mwa Kongo.

#ChanzoBBCSwahili

Latest News

UFARANSA YAZINDUA MAGARI YA UMEME HAPA NCHINI.
20 Oct 2021 15:31 - Grace Melleor

Waziri wa Biashara na uchumi nchini Ufaransa Franck Riester amezindua magari ya umeme yaliyoundwa na kampuni ya E-Motion [ ... ]

UHITAJI WA NYAMA WAONGEZEKA NCHINI.
20 Oct 2021 15:23 - Grace Melleor

Serikali imesema malalamiko yaliyojitokeza hivi karibuni ya kupanda kwa bei ya nyama nchini yanaashiria ukuaji wa sekta  [ ... ]

UGANDA YAZINDUA GARI LA KIVITA LILILOUNDWA NCHINI HUMO.
19 Oct 2021 18:03 - Grace Melleor

Jeshi la Uganda limezindua gari la kivita lililoundwa nchini humo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.