Takriban watu sita wameripotiwa kufariki baada ya bomu kulipuka katika mgahawa mmoja uliopo mji wa kusini wa Somalia wa Baidoa.
Add a commentWananchi wa Malawi wanapiga kura leo katika marudio ya Uchaguzi wa urais, katika Uchaguzi ambao unaelezwa na wachambuzi kama kipimo cha demokrasia katika taifa hilo.
Add a commentSerikali ya Libya yadai kuuteka mji muhimu kutoka kwa hasimu wake Khalifa Haftar.
Add a commentSerikali ya DRC yatangaza masharti mapya wakati wa mazishi nchini humo.
Add a commentRais John Magufuli amezindua barabara ya juu eneo la Ubungo ambayo imepewa jina la Marehemu John Kijazi, ambaye alikuwa [ ... ]
Mwili wa balozi wa Italia aliyeuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jaribio la utekaji nyara uliotibuka s [ ... ]
Mwanasiasa wa upinzani na raia wa Rwanda anayeishi mafichoni nchini Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi.
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.